Video not available for this topic.
Karibu kwenye mkusanyiko huu wa vdeo zinazofafanua kwa undani kuhusu uwekezaji kupitia UTT – Shirika la Uwekezaji wa Pamoja Tanzania. Playlist hii inahusisha mahojiano na wataalamu wa fedha, maelezo kuhusu aina mbalimbali za mifuko ya uwekezaji (unit trusts), faida za kuwekeza, taratibu za kujiunga, na ushuhuda wa wawekezaji.
Ni rasilimali bora kwa yeyote anayetaka kuelewa jinsi ya kuwekeza kwa urahisi, kwa usalama, na kwa mtaji mdogo kupitia mifuko ya pamoja ya UTT.
Discover how to plan, conduct, and analyze usability tests...
Dive into the legal aspects of user experience design...
TZS 0
0:11 Minutes
0:11 Minutes
0:11 Minutes