Video not available for this topic.
Hii ni mkusanyiko maalum wa vipindi vilivyotangazwa kwenye televisheni na redio vinavyolenga kukuza uelewa wa masuala ya kifedha. Vipindi hivi vinashughulikia mada muhimu kama vile bajeti ya binafsi, uwekezaji, mikopo, bima, matumizi ya benki, biashara ndogo ndogo, na nidhamu ya kifedha.
Playlist hii imekusudiwa kuwasaidia watazamaji na wasikilizaji kujenga misingi imara ya maarifa ya kifedha kwa ajili ya maisha bora ya kiuchumi.
Discover how to plan, conduct, and analyze usability tests...
Dive into the legal aspects of user experience design...
TZS 0
0:11 Minutes